VIWANGO VYA UUZAJI NYUMBA NA VYUMBA
BONYEZA APA
1,145,000,000
4 Vyumba
Kama wewe ni mtu unaetamani kuona mabadiliko makubwa katika maisha yako basi uwe mtu wenye ushawishi zaidi basi mawazo yako na maono yako ni ya muhimu katika kufanikisha hili.
Mawazo yote ya wapenda mabadiliko yanakusanywa hapa na kufikishwa kwa wahusika ili upate nyumba nzuri.
GHARI GHARI APA
1,030,500,000
3 Vyumba
Wengi wetu tunaishia kwenye kununua vitu ambavyo miyoni mwetu vina tuumiza badala ya kununua vitu ambavyo vituumizi kichwa. Nafikiri hapa panaweza likawa mana Ndio soluhisho la wengi sasa ni wakati wako kupata kilicho bora zaidi ili tusogee mbele kimaendeleo.....
MAISHA APA
1,809,100,000
6 Vyumba
Mafanikio kwa mtu ni pale unapo
amua wewe mwenyewe na kushinda kwa kishindo kwenye kila changamoto.Mafanikio ni kuona umepiga hatua mbele na kujitegemea.Na mafanikio kwa mchezaji ni kushinda goli.Je, unaposema huyu amefanikiwa huwa unazingatia maana yako auh yake yeye ya mafanikio?Kila mtu anavigezo vyake karibu sasa uchukue kilicho bora.
![]() | ![]() | ![]() |
|---|
VIWANGO VYA BEI NAFUU VYA UPANGISHAJI
Call Me! 0656634639
KILICHO BORA
4 Vyumba
Kama wewe ni mtu unaetamani kuona mabadiliko makubwa katika maisha yako basi uwe mtu wenye ushawishi zaidi basi mawazo yako na maono yako ni ya muhimu katika kufanikisha hili.Mawazo yote ya wapenda mabadiliko yanakusanywa hapa na kufikishwa kwa wahusika ili upate nyumba nzuri.
1,145,000 Mwezi mmoja
KALI UBORA
3 Vyumba
Wengi wetu tunaishia kwenye kununua vitu ambavyo miyoni mwetu vina tuumiza badala ya kununua vitu ambavyo vituumizi kichwa. Nafikiri hapa panaweza likawa mana Ndio soluhisho la wengi sasa ni wakati wako kupata kilicho bora zaidi ili tusogee mbele kimaendeleo.....
1,030,500 Mwezi mmoja
GHARAMA ZA UBEBAJI MIZIGO NI ZA BEI NAFUU
KARIBU NA UNAPATA USAJILI WA BURE
Kwa mteja wetu anaye hitaji chumba cha kukodi au kununua nyumba anafanyiwa anafanyiwa usajuli wa bure tofauti na wengine
KWA MIZIGO YA WATEJA HAUCHAJIWI
Kwa mizigo yote ya wateja amabayo wanamizigo hataweza kuchajiwa chochote mpaka pale mahali husika anapopataka kukaa
KIWANGO CHA KUTUPATA TUMIA GOOGLE MAP YETU
Kwa makazi yoyote na kutupata sisi ndugu wateja mnaweza mkatupata kwa kutumia google map yetu , karibuni sana

MAONO YA WATEJA WETU
Nawashukuruni sana ndugu zangu kwa kunifanya naishi kwa furaha na amani kwani napata furaha katika safari yang ya mafanikio.
-Adam Salim Said
Ndudu zanguni kwa wale mmnayo tafuta nyumba au vyumba tembelea dalali kona unapata vyumba na nyumba zenye ubora mzuri zaid
-Isihaka k. Kipazi
Mashalaa kona dalali ni wakali sana siku izi mambo ni motooo wanatoa vitu konki jamani an mpaka unajikuta una faraja na mani moyoni aeee...
-Omary Senyagwa Enock
Mawasiliano Zaidi
ADDRESS
13194 Posta, Nkruma Street , Posta , Dar es Salaam
NJIA MBADALA YA KUWASILIANA NASI KWA KUTUMIA UJUMBE MFUPI:
KUONGEA NA MUWAKILISHI WETU,
SAMAHANI MPIGIE AU EMAIL:







